STAGE |
TIME |
TEACHER'S ACTIVITIES |
STUDENT'S ACTIVITIES |
ASSESSMENT |
INTRODUCTION |
5 |
Mwalimu kwa kutumia majadiliano ya chati ya visawe, awaongoze wanafunzi kuonesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo wa ubantu wa Kiswahili kwa kuzingatia lugha za makabila mbalimbali ya Tanzania |
wanafunzi kuonesha ushahidi wa kimsamiati na kimuundo wa ubantu wa Kiswahili kwa kuzingatia lugha za makabila mbalimbali ya Tanzania |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
PRESENTATION |
20 |
Waongoze Wanafunzi watoe mifano kadhaa ya maneno kuthibitisha ubantu wa Kiswahili. Wafanye hivyo kwa kuzungumza na kwa kuandika |
Wanafunzi watoe mifano kadhaa ya maneno kuthibitisha ubantu wa Kiswahili. Wafanye hivyo kwa kuzungumza na kwa kuandika |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REFLECTION |
5 |
Ongoza Wanafunzi wafanye utafiti wa maneno mbalimbali ya lugha Kibantu na kuyahusisha na lugha ya Kiswahili kimuundo na kimsamiati |
Wanafunzi wafanye utafiti wa maneno mbalimbali ya lugha Kibantu na kuyahusisha na lugha ya Kiswahili kimuundo na kimsamiati |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
REINFORCEMENT |
5 |
Ongoza Wanafunzi wafanye utafiti wa maneno mbalimbali ya lugha Kibantu na kuyahusisha na lugha ya Kiswahili kimuundo na kimsamiati |
Kila mwanafunzi ajibu maswali ambayo ameulizwa na mwalimu. Mwanafunzi apate ufafanuzi |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |
CONCLUSION |
5 |
Andika muktasari wa nukuu, simamia wanafunzi wafanye mazoezi |
Mwanafunzi aweze kufanya kazi ya ziada atakayopewa kwa umakini na kuuliza maswali ili kupata jibu |
Mazoezi, maswali na majibu, majaribio, kaziya vikundi, kazi ya nyumbani, mtihani wa mwezi |